Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Uchumi
Uchumi


(Page 4 of 37)   « Back  | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | Next »
» Wizi wa magari waibuka Z’bar
By Habari Tanzania | Published 05/21/2007 | Uchumi | Rating:

LIMEIBUKA wimbi la wizi wa magari visiwani humu, hasa katika kumbi za starehe na kuibua hofu miongoni mwa watu wanaomiliki vyombo hivyo vya usafiri.

» Kampuni yajizolea sifa kwa kuitangaza Tanzania
By Habari Tanzania | Published 05/9/2007 | Uchumi | Unrated
KAMPUNI ya utalii ya Nomad Tanzania, yenye makao yake makuu Usa-River wilayani Arumeru, mkoani Arusha, imepongezwa kwa kuwa mstari wa mbele kutangaza nje ya nchi vivutio vya utalii nchini.
» ‘Acheni kutafuta silaha, tumieni mbwa kwa ulinzi’
By Habari Tanzania | Published 05/4/2007 | Uchumi | Unrated
WAKAZI wa Arusha wametakiwa kutumia mbwa wa kisasa katika masuala ya ulinzi wa majumbani na kuondoa dhana kuwa kumiliki silaha kuwa ndiyo suluhisho la kukabiliana na vitendo vya ujambazi.
» Wageni wavamia Pwani ya Mafia
By Habari Tanzania | Published 04/15/2007 | Uchumi | Rating:

ENEO la ufukwe wa Bahari ya Hindi, kisiwani Mafia, limevamiwa na raia wa kigeni wanaodaiwa kupora mazao ya baharini na kuharibu mazingira kwa kiwango kikubwa.

» Ubinafsishaji wakuza uzalishaji wa mazao ya biashara
By Habari Tanzania | Published 04/13/2007 | Uchumi | Rating:

TANGU kuanza ubinafsishaji wa viwanda na mashirika mbali mbali hapa nchini, mafanikio makubwa yamepatikana kwa wakulima, wafanyakazi, wananchi na wenye viwanda mbalimbali pamoja na serikali inayopata faida kwa upande wa kodi mbalimbali zinazolipwa na wawekezaji.



(Page 4 of 37)   « Back  | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | Next »
Your Favorite Articles

View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
No popular authors found.