Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Uchumi
Uchumi


(Page 1 of 37)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» Wasomi wamtaka JK kukaza buti kwa mafisadi
By Habari Tanzania | Published 01/12/2008 | Uchumi | Rating:
WASOMI wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kusimamia kwa ukali na umakini mkubwa ili kuhakikisha watu walioshiriki katika ufisadi uliokithiri katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wanarudisha fedha zote zilizoibwa na wahusika kuchukuliwa hatua.
» Mwinyi akemea rushwa vyombo vya habari
By Habari Tanzania | Published 12/22/2007 | Uchumi | Unrated
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, amekemea rushwa kwenye vyombo vya habari, na kuwataka wanahabari wote kuungana na kupinga rushwa kwa nguvu zote.
» Watuhumiwa wizi NMB Mwanga kizimbani
By Habari Tanzania | Published 08/16/2007 | Uchumi | Unrated
WAHUTUMIWA 13 wa kesi ya kuvamia na kupora fedha zaidi ya sh milioni 234 katika benki ya NMB tawi la Mwanga, mkoani Kilimanjaro, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi.
» Balali hajajibu tuhuma, uzalendo ni kujiuzulu
By Habari Tanzania | Published 07/24/2007 | Uchumi | Unrated

KWA mtu ambaye anafuatilia tuhuma zinazomkabili Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Balali, licha ya kushtuka, kusikitika na hata kubaki kinywa wazi kwa majibu aliyotoa, atakubaliana nami kuwa Balali hata kama ameonyesha kujiamini kwa sababu anazozijua, hajajibu tuhuma zinazomkabili.

» Kombani atoa agizo kwa halmashauri
By Habari Tanzania | Published 07/6/2007 | Uchumi | Unrated
NAIBU Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Celina Kombani, ameziagiza halmashauri ambazo bado hazijatekeleza agizo la kutoa asilimia 10 ya mapato yake kwa ajili ya mifuko ya mikopo kwa vijana na wanawake zifanye hivyo mara moja na kumpelekea taarifa za utekelezaji ofisini kwake kila baada ya miezi mitatu.


(Page 1 of 37)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
Your Favorite Articles

View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  3. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Linda Garner
  4. Marshy Abdu
  5. Nthelezi Nesaa
No popular authors found.