Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Ramadhan Semtawa
Ramadhan Semtawa


(Page 1 of 7)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» Serikali kuendesha tena vivuko vyake
By Habari Tanzania | Published 02/18/2007 | Ramadhan Semtawa | Unrated
HATIMAYE serikali imeamua kuchukua kazi ya uendeshaji vivuko vyake vya Mv Alina na Kigamboni, baada ya kampuni ya Imalaseko kubwaga manyanga.
» Serikali bado yang'ang'ania kupinga mgombea binafsi
By Habari Tanzania | Published 02/16/2007 | Ramadhan Semtawa | Unrated

MPANGO wa serikali kukata rufaa kupinga hukumu ya kesi ya kikatiba ya kuruhusu wagombea binafsi katika uchaguzi umeiva na sasa itawasilisha hati yake ya rufaa ndani ya siku 60 kuanzia mwezi huu.

» Wakuu wa polisi kujadili uhalifu duniani
By Habari Tanzania | Published 02/10/2007 | Ramadhan Semtawa | Unrated
POLISI nchini wameandaa mkutano mkubwa wa maafisa wakuu waandamizi kujadili changamoto za uhalifu duniani.
» Makampuni ya kigeni yajitosa kukarabati kivuko
By Ramadhan Semtawa | Published 02/8/2007 | Ramadhan Semtawa | Unrated
MAKAMPUNI matatu ya kigeni, yamejitosa kutaka kukifanyia matengeneza kivuko cha Mv Kigamboni ambacho kiko katika hali mbaya.
» Baharia wa meli iliyozama aibuka
By Habari Tanzania | Published 02/2/2007 | Ramadhan Semtawa | Unrated
WAKATI timu ya wachunguzi wakifuatilia meli ya Mv Mnazi Bay iliyopotea katika Bahari ya Hindi tangu Januari 23, mmoja wa mabaharia aliyeondokao Dar es Salaam na meli hiyo amejitokeza na kuelezea mlolongo wa safari kabla ya kupotea.


(Page 1 of 7)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
No popular authors found.