Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Nthelezi Nesaa
Nthelezi Nesaa
Kama ada, kazi ya safu hii ni kutongoa, kuadibu, kuhoji, kushauri hata kukaripia.


(Page 1 of 20)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» Namna hii hatuwezi kupambana na rushwa.
By Nthelezi Nesaa | Published 11/1/2007 | Nthelezi Nesaa | Rating:

Wakati wa udogo safu hii ilizoea kuwasikia wazazi wakiongelea habari za TANU. Walikumbushana ahadi za mwana-TANU na miiko ya uongozi uzalendo na maendeleo ya jamii. Waliongelea ufugaji bora huku wakirejea na magazeti maarufu kama ukulima na ufagaji wa kisasa.

» Warioba siyo msemaji wa Mkapa wala serikali.
By Nthelezi Nesaa | Published 10/22/2007 | Nthelezi Nesaa | Rating:
Hakuna ubishi kuwa nchi yetu imo matatani. Wala hakuna ubishi kuwa ufisadi upo tena kwa kiwango kikubwa. Ushahidi upo hata kama kuna watu wanaupuuzia. Nani haoni wanasiasa wanavyotajirika ghafla bila hata maelezo wala stahiki? Huyu ni kipofu hata kama ana macho.
» ANBEN,TanPower na CCM saidia familia ya Nyerere.
By Nthelezi Nesaa | Published 10/22/2007 | Nthelezi Nesaa | Rating:
Neno familia linaweza kutafsirika kutokana na mahali alipo mtu. Ukiongelea wazungu ni baba mama na mtoto au watoto. Ukiongelea waafrika ni zaidi ya hapo. Hata ukoo unaweza kuwa familia kama unaishi pamoja kwa misingi sawa kama ilivyo kwenye darasa la leo.
» Wanaharakati jitokeze shitaki familia ya Mkapa
By Nthelezi Nesaa | Published 10/19/2007 | Nthelezi Nesaa | Rating:
Rais mstaafu Benjamin Mkapa amekuwa bubu ghafla baada ya kuondoka madarakani! Hakuna aliyetegemea kuwa Mkapa bingwa wa kuandika hotuba ndefu na kuzodoa wapinzani wake angefikia hatua hii! Hakuna aliyetegemea Mkapa bingwa wa kujua kila jambo angedondoka chali hivi!
» Wasomi hawawi nepi.
By Nthelezi Nesaa | Published 09/28/2007 | Siasa , Nthelezi Nesaa | Rating:
Wakati wa kudai uhuru, nchi yetu ilipata taabu sana kutokana na mfumo uliokuwa umewekwa na wakoloni. Wakoloni walipoivamia na kuikalia Afrika, walitumia mbinu nyingi chafu kuhakikisha wanaendelea kuinyonya.


(Page 1 of 20)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
Popular Articles
  1. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  2. Unaifahamu Jambo Forums?
  3. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Nitaendelea kugombea nafasi za kisiasa- Balozi Karume
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Nthelezi Nesaa
  4. Linda Garner
  5. Marshy Abdu
No popular authors found.