Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Jamii
Jamii


(Page 1 of 56)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» Waziri kuwatembelea wafungwa gerezani
By Habari Tanzania | Published 12/22/2007 | Jamii | Unrated
SERIKALI imeanzisha mpango wa maboresho ya sekta ya sheria ili kukabiliana na kero mbalimbali, ikiwemo msongamano wa watuhumiwa magerezani.
» Wati 160wakutwa na virusi vya UKIMWI
By Prosper Kwigize | Published 11/16/2007 | Jamii | Rating:
Jumla ya watu 160 kati ya watu hamsini na moja elfu na mia tisa themanini na wawili (51982) waliojitokeza kupima virusi vya ukimwi katika tarafa za Heru chini, Manyovu na Makere wilayani Kasulu mkoani Kigoma walikutwa wameambukizwa virusi vya ugonjwa huo.
» Kamati yaeleza kutoridhishwa kasi ujenzi daraja la Kigamboni
By Habari Tanzania | Published 08/4/2007 | Jamii | Unrated

KAMATI ya Maendeleo ya Jamii ya Bunge, imesema hairidhishwi na kasi ya serikali katika kushughulikia suala la ujenzi wa daraja la Kigamboni, ambao umeasisiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

» Wanchari, Wakira wauana Tarime
By Habari Tanzania | Published 07/27/2007 | Jamii | Unrated
MIEZI kadhaa baada ya Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kuongoza mkutano wa kusaka amani mkoani Mara, mapigano baina ya koo mkoani humo bado yanaendelea.
» Elimu ya Juu yaainisha mikakati
By Habari Tanzania | Published 07/21/2007 | Jamii | Rating:
WIZARA ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, itaongeza idadi ya wanafunzi wa elimu ya juu kutoka 68,029 hadi 75,346 katika mwaka huu wa fedha.


(Page 1 of 56)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
No popular authors found.