Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa
Habari za Kitaifa


(Page 4 of 398)   « Back  | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | Next »
» Magufuli atoa mpya
By Marshy Abdu | Published 12/20/2007 | Habari za Kitaifa | Rating:
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, John Magufuli, amezijia juu halmashauri nchini na kuzitaka kuacha mara moja kuvunja nyumba za wananchi zilizojengwa katika maeneo ya makazi ambayo hayajapimwa.
» Idd el Hajj Sikukuu ya Kiislam baada ya ibada ya hijja
By Marshy Abdu | Published 12/20/2007 | Habari za Kitaifa | Unrated
LEO Wailamu kote nchini wameungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Idd el Hajj, mbayo husherehekewa baada ya mahujaji kukamilisha ibada ya hijja, kwenye miji mitakatifu ya Makka na Madina
» Kufaulu kwa shuka - matokeo darasa la saba
By Habari Tanzania | Published 12/19/2007 | Habari za Kitaifa | Rating:

KIWANGO cha kufaulu kwa wanafunzi wa darasa la saba kimeshuka kwa asilimia 16.3 mwaka huu ukilinganisha na mwaka jana, ambapo waliofaulu walikuwa asilimia 70.48 ya wanafunzi wote waliofanya mitihani.
» Marekani yakumbusha Muafaka wa Zanzibar
By Habari Tanzania | Published 12/14/2007 | Habari za Kitaifa | Rating:
UBALOZI wa Marekani nchini, umetaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha haraka na kwa haki mazungumzo ya kutafuta suluhu ya kudumu ya mpasuko wa kisiasa Zanzibar.
» Mahujaji wateseka
By Habari Tanzania | Published 12/14/2007 | Habari za Kitaifa | Unrated
JUHUDI za serikali kuwasafirisha mahujaji waliokwama kwenda kuhiji Makka, zimeshindwa kuzaa matunda kwa wakati muafaka, baada ya ndege iliyokodiwa kutoka Kampuni ya AL-Wassam kushindwa kuhimili safari za kuwasafirisha mahujaji hao baada ya kuharibika.


(Page 4 of 398)   « Back  | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | Next »
Your Favorite Articles

View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
No popular authors found.