Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa
Habari za Kitaifa


(Page 1 of 397)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» Kama Zanzibar si nchi, Tanganyika ilijiunga na wilaya?
By Marshy Abdu | Published 08/10/2008 | Habari za Kitaifa | Unrated
BABA wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alikuwa mtu mwenye kanuni ya kujikosoa. Nadhani ni kanuni hiyo iliyomfanya afe akiwa kipenzi cha wote wakiwamo hata wale ambao kwa namna moja au nyingine walibanwa na wadhifa wake.
» Kiteto kumekucha
By Marshy Abdu | Published 02/22/2008 | Habari za Kitaifa | Rating:
MCHUANO wa kisiasa katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiteto, mkoani Manyara kati ya vyama viwili vinavyoshindana vikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umezidi kuwa mkali.
» Richmond yaivua nguo serikali
By Marshy Abdu | Published 02/7/2008 | Habari za Kitaifa | Rating:
KAMATI Teule ya Bunge iliyochunguza mchakato wa upatikanaji wa zabuni ya uzalishaji umeme wa dharura, iliyopewa Kampuni ya Richmond Development LLC, ya Hauston Marekani, imemtaja Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kuwa alihusika kuibeba kampuni hiyo kupata zabuni hiyo.
» Eti Bongo mteja sio mfalme?
By Habari Tanzania | Published 01/12/2008 | Habari za Kitaifa | Rating:
MWANANGU mtabisha nikiwaambia kastama kea kwenu ni ziro? Mbona siku zote tulifunzwa kwamba mteja ni mfalme wajameni? Kumbe kauli hii ya mteja ni mfalme haiwahusu Wabongo sio? Kama sivyo mbona hatuoni ubora wa huduma kwa wateja katika nyanja zote? Nawaapia tangu siasa, michezo, jamiii na eneo lolote utakalo, hakuna kabisa hicho kinachoitwa kwa kimombo customer care! Huko simo mwanakwetu.
» Dk. Slaa: Nina siri nyingine nzito
By Habari Tanzania | Published 01/12/2008 | Habari za Kitaifa | Rating:
WAKATI Watanzania wakitafakari hatua ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT), Dk. Daudi Balali kutokana na kashfa ya akaunti ya malipo ya madeni ya nje (EPA), muasisi wa tuhuma zilizosababisha uchunguzi wa akaunti hiyo, Dk. Willibrod Slaa, ameibuka na siri nyingine kuhusu tuhuma za ufisadi wa viongozi walio serikalini.


(Page 1 of 397)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
Popular Articles
  1. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  2. Unaifahamu Jambo Forums?
  3. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Nitaendelea kugombea nafasi za kisiasa- Balozi Karume
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Nthelezi Nesaa
  4. Linda Garner
  5. Marshy Abdu
No popular authors found.