Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kimataifa
Habari za Kimataifa


(Page 2 of 82)   « Back  | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» Jeshi la Israel latumia watoto kujihami
By Habari Tanzania | Published 03/10/2007 | Habari za Kimataifa | Unrated

MAKUNDI ya haki za binadamu nchini Israel, yamelishitumu jeshi la Israel kwa kuwatumia watoto wadogo wawili wa Kipalestina kama ngao ili kujizuia na mashambulizi yalitokea katika eneo la Ukingo wa Magharibi.

» Bush apokelewa kwa maandamano Brazil
By Habari Tanzania | Published 03/10/2007 | Habari za Kimataifa | Unrated

RAIS wa Marekani George W. Bush amepokelewa kwa maandamano  yalioambatana na vurugu nchini Brazil kutokana na Marekani kuivamia Iraq na kusababisha vita nchini humo.

» Mawaziri Iraq matumbo joto, wahofia mabadiliko
By Habari Tanzania | Published 03/8/2007 | Habari za Kimataifa | Unrated

WAZIRI MKUU wa Iraq, Nouri al-Maliki amesema wiki mbili zijazo atafanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri ili kumaliza mgawanyiko wa makundi ya kikabila katika Serikali yake na kuleta umoja wa kitaifa.

» Ghana: Yasherehekea miaka 50 ya uhuru leo gizani
By Habari Tanzania | Published 03/6/2007 | Habari za Kimataifa | Unrated

LEO wananchi wa Ghana duniani kote pamoja na wapenda amani duniani wanasherehekea miaka 50 ya uhuru wa taifa hilo na kuweka rekodi ya kuwa taifa la kwanza la weusi barani Afrika kujipatia uhuru kutoka kwa dola ya Kiingereza, iliyokuwa inaporomoka baada ya kuwa kinara wa dunia kabla ya kuibuka kwa Marekani na Urusi.

» Wakamatwa kwa mlipuko wa treni India
By Habari Tanzania | Published 02/25/2007 | Habari za Kimataifa | Unrated
POLISI nchini India imesema inawashikilia watu watatu wanaodaiwa kuhusika na ulipuaji wa treni ya abiria ya Samjhauta (Friendship) Express) iliyokuwa ikitokea India kuelekea Pakistan.


(Page 2 of 82)   « Back  | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
Your Favorite Articles

View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
No popular authors found.