Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

 »  Home  »  Blogs
Blogs
(Page 1 of 5)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
By Marshy Abdu | 10/5/2007
MAPEMA wiki hii serikali iliwatawanya mawaziri na manaibu mawaziri na makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mikoani, kwa maelezo ya kwenda kuelezea wananchi ubora wa bajeti ya mwaka 2007/2008. Uamuzi h...
By Marshy Abdu | 10/3/2007
Samson Mwigamba NINA njozi ninayohitaji kuishiriki na Watanzania wenzangu. Njozi ni maono ya mambo yajayo, mambo yatarajiwayo katika siku za usoni. Natamani wanasiasa wa kambi ya ushindani (si...
By Marshy Abdu | 10/3/2007
na Elishekia Isaac MWANASHERIA Mkuu wa kwanza mzalendo nchini, Jaji Mark Bomani, amewataka wanasiasa wanaotishia kwenda mahakamani kumshitaki Katibu Mkuu wa Chadema, Willibrod Slaa, kutokana na kuwash...
By Marshy Abdu | 10/3/2007
na Ramadhani Siwayombe, Longido WANANCHI wa Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, wameiomba serikali kutengua kibali cha uchimbaji wa madini cha Kampuni ya Mundarara Ruby Mining, kwa kuwa kampuni hiyo ime...
By Marshy Abdu | 10/3/2007
M. M. Mwanakijiji TAIFA letu liko katika kipindi cha mpito. Kipindi cha kutoka mawazo ya chama kimoja kuelekea mawazo ya vyama vingi, na kutoka ukiritimba wa hoja za chama kimoja kwenda kwenye ...
By Marshy Abdu | 10/3/2007
Gervas Zombe MCHAKATO wa kuboresha maisha kwa Watanzania unaoendelea miaka hadi miaka, ni kama hadithi inayofurahisha, kuhuzunisha na kufikirisha pia. Wanaofuatilia ahadi za viongozi, hotuba z...
By Marshy Abdu | 10/1/2007
na Mwandishi Wetu WIKI mbili tangu wapinzani watoe tuhuma nzito za rushwa dhidi ya viongozi waandamizi serikalini na wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), serikali imetoa tamko ikitoa majibu yake. Serikali ...
By Marshy Abdu | 10/1/2007
WATANZANIA sote tunaishi kwenye vijiji na kwenye mitaa. Hivyo uongozi wa vijiji na mitaa ni muhimu kwa kila Mtanzania. Kama tujuavyo maofisa watendaji wa vijiji na mitaa ndiyo wasimamizi na waendeshaj...
By Marshy Abdu | 10/1/2007
“TUNAWANYONGA vibaka na kuwachagua wezi wakubwa kuwa viongozi wa umma.” Kauli hii ilitolewa na mtumwa wa Kigiriki, Aesop, aliyeishi kati ya miaka 620 na 560 Kabla ya Kristo. Aesop alifariki dunia mia...
By Marshy Abdu | 10/1/2007
na Charles Mullinda na Dauson Harlod JUMUIYA ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini wameonya kwamba iwapo serikali haitakuwa tayari kufanya majadiliano ya wazi kuhusu tuhuma zinazowaandama...
(Page 1 of 5)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
No popular authors found.