              
|
|
Prosper Kwigize
|
| Ni mwandishi wa habari za Kikanda, Kitaifa na Kimataifa.
Ni mtangazaji wa Radio Kwizera mkoa wa Kagera na Kigomaa, (Kigoma Press Club) napatikana kwa anuani hii, pkwigize@habaritanzania.com, au pkwigize@yahoo.com, mpigie simu na. 0784676888 au 0754077478.
Tuijenge dunia yenye mawasiliano makini,na Tanzania inayoheshimu vipaji.
|
Articles by this Author
»
TCCIA KIBONDO LAWAMANI
|
Chama cha wafanyabiashara, wakulima na wenye viwanda TCCIA wilayani Kibondo kimedaiwa kudharau maagizo ya serikali ya kukamilisha ujenzi wa ofisi ya chemba ya tarafa ya Mabamba
|
»
Mwanafunzi kidato cha kwanza atengeneza ndege na kuirusha angani!
Mwanafunzi mwingine wilayani Kibondo amefanikiwa kukiweka hadharani kipaji chake cha ajabu baada ya kutengeneza ndege na kuirusha angani kwa mara ya kwanza na kuiacha jamii midomo wazi.
|
»
SHULE YAKABIRIWA NA TATIZO LA UHABA WA MAJI
|
Shule ya msingi Kasebuzi wilayani Kibondo mkoani Kigoma inakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa maji kwa ajili ya matumizi ya kuwapikia wanafunzi na huduma nyiongine za kiafya.
|
»
MAJAMBAZI MAARUFU NCHINI YAKAMATWA KIBONDO
|
Majambazi wawili wanaodhaniwa kuwa na mtandao wa kitaifa wamekamatwa mjini Kibondo baada ya kumtapeli mfanyabiashara mmoja kiasi cha shiulingi milioni moja na kutokomea nazo kabla ya kutiwa mbaroni
|
»
Atapeli kwa kuvaa kama padre
POLISI inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za utapeli, mmoja akitenda kosa hilo akiwa amevalia kama padre.
|
»
Kikao cha tano cha Bunge la Jamhuri, Wabunge wamepeleka mawazo ya nani Bungeni?
|
Wakati Tanzania ikigubikwa na masuala makuu matatu ambayo yamekuwa yakiwatoa jasho viongozi, yaani elimu, kilimo na afya yaliyopewa jina moja la mpango wa EKA kwa kifupi, bila kusahau utata wa masuala ya umeme, mikataba ya madini na mzozo wa ziwa Victoria na umasikini wa watanzania ulioibua filamu ya mapanki (darwin’s Night mare) viongozi, hususani wawakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi bado hawajajua lipi la kufanya na wapi lifanyike
|
»
MHAKAMA KUU KANDA YA TABORA YATOA HUKUMU KWA WAUAJI
|
Mahakama kuu kanda ya tabora inayoendelea na kikao chake katika mahakama ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma imetoa hukumu nane kwa watuhumiwa wa kesi za mauaji ambapo wawili wameachiwa huru.
|
»
Jeshi la Magareza latoa onyo
|
Jeshi la magereza wilayani Kibndo limetoa wito kwa wananchi kubadili mwelekeo wa kuona fahali watu kufungwa jela badala yake wajenge tabia ya kuelimishana kabla ya kosa.
|
»
Mtaala mpya wa ufundishaji wa vijana kutolewa
|
Chama cha msalaba mwekundu Tanzania chini ya mradi wa pamoja tunaweza uko mbioni kutoa kitabu chenye maelekezo ya ufundishaji wa watoto na vijana juu ya masuala ya ukimwi.
|
»
Serikali yatangaza kufunga makambi ya wakimbizi kibondo
|
erikali wilayani Kibondo imeagiza kufungwa kwa makambi matatu ya wakimbizi wilayani humona kuwaweka wakimbizi wote katika kambi moja kwa lengo la kuimarisha utoaji wa huduma na usalama.
|
|
|