              
|
|
Edward Chacha
|
| I like composing poems and short stories...
|
Articles by this Author
»
TUPATIENI 'STIEGLERS GORGE'
|
Haileti maana kabisa kwa nchi yetu iliyobarikiwa kwa vyanzo vingi vya kuzalisha umeme kama vile makaa ya mawe coal--Mchuchuma na Kiwira; gesi ya asili "songo songo" -- Ufukweni mwa bahari ya Hindi na Mnazi bay (Mtwara); pamoja na chanzo kingine kwa njia ya maji Hydro-power--Stieglers Gorge, Rufiji; kuendelea kusuasua kwenye kiza kinene kila mwaka!
|
»
SERIKALI YA KIDEMOKRASIA vs UHURU WA HABARI
|
Ibara ya kumi na nane (18) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inaeleza waziwazi kwamba:
|
»
ILI KUIBADILI BONGO, "Wa-Tank Man" WANAHITAJIKA
The Tank man" anatukumbusha kuwa mchakato wa mabadiliko yoyote yale yawe ya kisiasa, kijamii ama kiuchumi hayataletwa na viongozi wenye majina makubwa yaliyozoeleka masikioni mwetu (Malecela, Kingunge, Malima, Mwinyi, Chambiri, Msuya, Sitta); bali mabadiliko halisi yataletwa na raia wa kawaida watakaohiyari kujitoa mhanga kutetea maslahi ya taifa bila kujali yanayoweza kuwatokea kesho. Kama Rais Kennedy alivyowahi kusema, utu wa kweli umekamilika ndani ya yule anayediriki kufanya kila awezacho kutetea haki na uhuru wake pasipokujali madhara yanayoweza kumkumba hapo baadaye.
|
»
ILI KUIBADILI BONGO, "Wa-Tank Man" WANAHITAJIKA
"The Tank man" anatukumbusha kuwa mchakato wa mabadiliko yoyote yale yawe ya kisiasa, kijamii ama kiuchumi hayataletwa na viongozi wenye majina makubwa yaliyozoeleka masikioni mwetu
|
|
|