Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

 »  Home  »  Authors  »  Mzee Mwanakijiji
Mzee Mwanakijiji

Mchambuzi wa mambo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii anayeishi Marekani ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Kitanzania ya Demokrasia, Maendeleo, na Amani (TAKIDEMA)
Articles by this Author
(Page 1 of 5)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» The Arrogance of Power
By Mzee Mwanakijiji | Published 11/9/2006 | Mzee Mwanakijiji | Rating:
A minister is accused of rape of a fifteen years old Secondary school student in Dodoma. The accusation is made after the minister is caught ready handed by his wife in one of the hotels the designate capital.
» Rambirambi au Unafiki?
By Mzee Mwanakijiji | Published 11/16/2006 | Mzee Mwanakijiji | Rating:
Kitendo cha viongozi wa ngazi za juu wa serikali yetu kwenda kutoa rambirambi kwa familia ya Hassan Mbonde huko Kawe, kwa njia kinaonekana ni cha kibinadamu, kiungwana, na kinachoonesha kujali. Hata hivyo kwa mtu anayeangalia kwa karibu kitendo hiki kimejaa unafiki, uzandiki, na kinachozua maswali mengi zaidi.
» Lowassa twataka jibu!!
By Mzee Mwanakijiji | Published 11/17/2006 | Mzee Mwanakijiji | Rating:
Akitoa hoja ya kuahirisha bunge, Waziri Mkuu alighani shairi ambalo kwa majigambo na majitambo, alidai kuwa viongozi mashujaa, waadilifu, majasiri na wanaojali watu "wapo wamejaa tele".
» Hapa Walipo Hawapo!
By Mzee Mwanakijiji | Published 11/26/2006 | Mzee Mwanakijiji | Rating:
Alichosema Lowassa bungeni bado kinanikera. Leo napiga hatua moja zaidi. Kama Waziri mkuu anawajua viongozi mashujaa, mahiri, waadilifu na majasiri atutajie majina yao!!
» A Challenge to Pessimists - A Dare to Hope
By Mzee Mwanakijiji | Published 11/30/2006 | Mzee Mwanakijiji | Unrated
When we look at the situation in the country and across East Africa, we are tempted to be pessimistic, and indeed sometimes we find ourselves holding such world view. It is the purpose of this article to challenge our generation to dare to hope and soar higher like an eagle even when things don't look that promising. But first, we must defeat pessimism.
» Penzi lako Silitaki!
By Mzee Mwanakijiji | Published 12/3/2006 | Mzee Mwanakijiji | Unrated
Ni utenzi mfupi wa mtu aliyetamani cha mtu kumbe vyote ulaghai!
» Watanzania Wachangamkie Shirikisho la Afrika ya Mashariki
By Mzee Mwanakijiji | Published 12/3/2006 | Mzee Mwanakijiji | Rating:
Watanzania wengi wanaonesha wako hatihati na roho ya kusitasita kuhusu ujio wa Shirikisho la Afrika ya Mashariki. Hoja yangu leo ni kuwa haipaswi kuwa hivyo. Hii ni sehemu ya kwanza.
» Tunauliza kwa nini?
By Mzee Mwanakijiji | Published 12/12/2006 | Mzee Mwanakijiji | Rating:
Hivi kwanini kuna watu katika Tanzania ambao wanaamini kuwa wao wanastahili zaidi kuliko Watanzania wengine? Inakuwaje watu hao wafanye kazi zao bila kujali matokeo yake kana kwamba wao ni miungu watu. Tunauliza kwanini!!
» Kubadili Mfumo wa Ulipaji Mishahara siri ya Kuondoa Rushwa
By Mzee Mwanakijiji | Published 12/16/2006 | Mzee Mwanakijiji | Rating:
Je rushwa ndogondogo Tanzania inaweza kupunguzwa na hatimaye kukomeshwa? ni hoja yangu kuwa tukifanya mabadiliko fulani katika mfumo wetu wa ulipaji mishahara tutaweza kuanza kupunguza rushwa ndogondogo.
» Mazingaombwe ya RDC na Tanesco!
By Mzee Mwanakijiji | Published 12/29/2006 | Mzee Mwanakijiji | Rating:
Kama ulikuwa hujui, basi sasa jua! Mkataba wa RDC na Tanesco umeuzwa kwa kampuni ya Falme za Kiarabu kwa bei iliyofichwa na hivyo kuindoa kampuni ya RDC kutoka katika kuwajibika kuleta umeme.
(Page 1 of 5)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »