Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

 »  Home  »  Authors  »  Marshy Abdu
Marshy Abdu

Insured by Mafia Islanders You hit me!! We hit you!!!
Articles by this Author
(Page 1 of 39)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» Wasagaji na Mashoga samahanini
By Marshy Abdu | Published 10/5/2006 | Jamii | Rating:
Naomba kuwauliza nini kinawafanya mnakiuka amri za mwenyezi mungu mpendwa kwa kufanya matendo kinyume na maumbile
» Angalia Maziwa yako ewe mwanamke
By Marshy Abdu | Published 10/6/2006 | Habari za Kitaifa | Unrated
OCTOBER ni mwezi wa Kansa (cancer)ya maziwa duniani
» Tanzania vs Mozambique
By Marshy Abdu | Published 10/6/2006 | Michezo | Unrated
Timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars imeingia kambini kujiandaa na mechi yake ya pili dhidi ya kikosi cha Msumbiji. (Mozambique/Mocambique)
» Islamic Militia gaining ground
By Marshy Abdu | Published 10/6/2006 | | Unrated
MOGADISHU-Somalia Somalia's radical Islamic militia has advancsed to within 20km of the only town controlled by the government
» Militants disrupt Nigeria's oil production
By Marshy Abdu | Published 10/6/2006 | English News | Rating:
PORT HARCOURT,Niferia-Militants battled security forces in two areas of Nigeria's oil-rich delta.
» White students try to be black
By Marshy Abdu | Published 10/7/2006 | English News | Rating:
TSHWANE/PRITORIA,South Africa, A Group of white students painted their faces black to try and get themselves"classified"as black South African day before yesterday
» Mbeki is a Dictator-YCL
By Marshy Abdu | Published 10/11/2006 | | Unrated
» North Korea's bombtest rattles the world !
By Marshy Abdu | Published 10/11/2006 | English News | Unrated
Something went BOOOOM ! in North Korea day before yesterday and the communist state said it was a nuclear bomb test!
» China cancels troops' leave
By Marshy Abdu | Published 10/11/2006 | English News | Unrated
BEIJING,China-Troops stationed along China's borderwith North Korea have had their leave cancelled.
» Cash-in-transit guards demand state acts now
By Marshy Abdu | Published 10/12/2006 | English News | Rating:
CASH-IN-TRANSIT security guards threatened to strike in response to the recent series of violent heist,the Motor Transport Workers Union said yesterday.
(Page 1 of 39)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
Blogs by this Author
11/4/2006
Sisi watanzania halisi hatuitaki hii jumuia ni kwasababu ni mzigo mkubwa kwetu
07/12/2007
MIAKA zaidi ya 10 iliyopita, msomi maarufu nchini na mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kisheria, Profesa Issa Shivji, alisema: “Wanasiasa hawapendi siasa, wanapenda madaraka.” Mwanazuoni huyo alitoa...
07/16/2007
FITINA za Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Zanzibar kwa mwaka 2010, zimeanza ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar. Tayari wafuasi wa makundi matatu yenye nguvu yaliyo ndani ya chama hicho wam...
07/16/2007
Ansbert Ngurumo TAARIFA za afya inayosuasua ya Rais Mstaafu wa Zambia, Frederick Chiluba, zinanifikirisha sana kuhusu hatima ya viongozi wa Afrika wanaotanguliza matumbo yao na ya rafiki zao. ...
07/16/2007
Christopher Nyenyembe MANUNG’UNIKO, hofu, woga na kutojiamini na kudhani kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee duniani iliyojaliwa kuwa kisiwa cha amani kunaleta shaka na kudidimiza msimamo wa nguvu z...
07/16/2007
UHARAKISHAJI unaoonyeshwa na kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, kutaka utekelezaji wa mpango wake wa kuundwa kwa Umoja wa Mataifa ya Afrika (USAFRIKA), una tafsiri mbili tofauti. Kuna wanaomwona Gad...
07/16/2007
Padri Privatus Karugendo INGAWA sheria za Serikali za Mitaa zilishafanyiwa marekebisho ili kuzipatia uwezo wa kuajiri na kusimamia watumishi wake, bado wizara za kisekta zinaendelea kupenda kuendelea ...
07/16/2007
KAMATI ya Kitaifa ya Kukusanya Maoni Kuhusu Uharakishwaji wa Uundwaji wa Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki, imekamilisha kazi yake jana. Ripoti ya jumla ya kamati hiyo inaonyesha kwamba, takr...
07/16/2007
Leah Mwainyekule MIAKA kumi iliyopita Steven alikuwa akidhani kuwa viongozi wote ni watakatifu walioshuka kutoka mbinguni na ilikuwa ni dhambi kubwa kuliko zote kuhoji chochote wakifanyacho. Al...
07/16/2007
Mtikila ataka rais mstaafu aweze kushtakiwa *Aandaa kesi kutaka sheria zinazomlinda zifutwe *Ataka Bunge liweze kumwondoa rais akikiuka katiba Na Muhibu Said MWENYEKITI wa Chama cha Democrat...
07/18/2007
KATIKA toleo la Jumatano, Julai 11, 2007, gazeti la Tanzania Daima, linalotolewa kila siku na Kampuni ya Free Media Limited, lilichapisha makala mbili zikichambua kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Edward Lo...
07/18/2007
Happiness Katabazi JULAI mosi mwaka huu, Tanzania imetimiza miaka 15 tangu ianzishe mfumo wa vyama vingi vya siasa. Katika mahojihano na Mwandishi Wetu Happiness Katabazi, Msajili wa vyama vya ...
07/24/2007
OFISI ya Rais (Ikulu), imekanusha madai ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aliyoyatoa mwishoni mwa wiki wakati akihutubia mkutano wa hadhara Sirari, wilayani Tarime. Ikulu katika taar...
07/24/2007
Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana imewadhamini vijana 15 wanaotoka wilaya ya Mafia mkoani Pwani na kupata mafunzo mafupi ya fani mbalimbali za ufundi. Mafunzo hayo ya fani ya umeme, userema...
07/24/2007
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewekwa njia panda na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kutafuta suluhisho la kile ambacho Rais Jakaya Kikwete kwa kauli yake mwenyewe alikipachika jina la mpasuko wa kisiasa...
07/24/2007
KWA mtu ambaye anafuatilia tuhuma zinazomkabili Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Balali, licha ya kushtuka, kusikitika na hata kubaki kinywa wazi kwa majibu aliyotoa, atakubaliana nami kuw...
09/3/2007
  LILE sakata wa wabunge wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za kujihusisha na rushwa litachukua sura mpya leo baada ya viongozi wengine wa chama h...
09/3/2007
NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Salome Mbatia, ameviasa vyama vya wanawake vya kuweka na kukopa (SAACOS) kujenga uaminifu na umakini katika kuendesha vikundi hivyo. Mbatia alito...
09/3/2007
VIONGOZI wakuu wa vyama vinne vya upinzani vinavyoshirikiana, jana walianza kwa kishindo vuguvugu la mabadiliko makubwa yajayo kitaifa katika medani ya siasa. Viongozi hao, Freeman Mbowe, ambaye ni M...
09/24/2007
KWA takribani mwezi mmoja sasa, muungano wa vyama vinne vya upinzani, umekuwa na mikutano ya hadhara kuelezea madai mbalimbali, hasa baada ya Bunge la Tanzania kumsimamisha kuhudhuria vikao vya Bunge,...
09/24/2007
Elias Msuya BAADA ya umoja wa vyama vya upinzani kutoa orodha ya vigogo wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na ubadhirifu wa fedha za serikali, kumekuwa na hali ya kujikanyagakanyaga kwa viongozi...
09/24/2007
Deus Bugaywa CHUMVI ni kiungo muhimu sana, kwa umahiri wake wa kutia ladha katika chakula na kuhifadhi vyakula visiharibike, bahati yake mbaya moja ni kwamba pamoja na umuhimu huo ambao pengi...
09/24/2007
Happiness Katabazi SEPTEMBA 15, mwaka huu, nilikuwa miongoni mwa waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa hadhara viwanja vya Mwembe Yanga, Tandika, Dar es Salaam na kumshuhudia Katibu Mkuu...
09/24/2007
Ansbert Ngurumo KATIKA kikosi cha mashambulizi kilichotangazwa Jumamosi iliyopita pale Temeke Mwembe Yanga, Dar es Salaam, sikuona jina la Kingunge Ngombale -Mwiru. Waliobahatika kuwamo katika...
09/24/2007
Deodatus Balile MPENDWA msomaji natumaini haujambo. Waamini wa dini ya Kiislamu nawatakia mfungo wenye heri, nanyi Wakristo msikome kumuomba Mungu, na leo ni siku maalumu ya kwenda kanisani. W...
09/24/2007
Padri Privatus Karugendo WAKATI tunasisitiza umuhimu wa Serikali za Mitaa katika kusukuma gurudumu la maendeleo katika taifa letu, hatuwezi kukwepa kujadili wajibu wa afisa mtendaji wa kijiji/mt...
09/24/2007
Juvenalis Ngowi SINA raha kila ninapotambua kwamba siku yangu itafika. Sina hamu ya kufikiria kwamba nitakabiliwa nayo. Nafsi yangu inapata msononeko nikijua kwa hakika siku hiyo inafika na hapo...
09/24/2007
Christopher Nyenyembe SAUTI ya wengi ni sauti ya Mungu na kilio cha wengi mara nyingi huwa na kishindo, huo ni ukweli usiopingika, wanaolia wengi na ndio waliozama kwenye lindi la umaskini huku...
09/24/2007
Hillary Nkony WIKI hii katika taarifa ya habari iliyokuwa ikirushwa na kituo kimoja cha televisheni hapa nchini ilionyesha habari ya kukatamwa kwa kijana mmoja ambaye alikuwa akidhaniwa kuwa ni...
09/24/2007
Mwandishi Wetu KWA miaka mingi, wanawake wamekuwa katika harakati za kutaka usawa katika mambo mbalimbali, yakiwamo madaraka na hadhi katika jamii. Na kweli, tangu Mkutano wa Nne wa Umoja wa Ma...
09/24/2007
Daniel Misheto TANZANIA kama ilivyo kwa nchi nyingine zinazoendelea imekuwa na makosa yanayotendwa na jamii na juhudi za kuifanya jamii ijirudi mara nyingi imekuwa ni tatizo lililogeuka kuwa ker...
09/24/2007
Innocent Nganyagwa KARIBU msomaji, mpenzi wa muziki na shabiki wa historia ya mitindo mbalimbali ya muziki duniani. Hii ni makala mahsusi inayokuchambulia kwa kina na kukujuza yale usiyoyafaha...
10/1/2007
na Charles Mullinda na Dauson Harlod JUMUIYA ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini wameonya kwamba iwapo serikali haitakuwa tayari kufanya majadiliano ya wazi kuhusu tuhuma zinazowaandama...
10/1/2007
“TUNAWANYONGA vibaka na kuwachagua wezi wakubwa kuwa viongozi wa umma.” Kauli hii ilitolewa na mtumwa wa Kigiriki, Aesop, aliyeishi kati ya miaka 620 na 560 Kabla ya Kristo. Aesop alifariki dunia mia...
10/1/2007
WATANZANIA sote tunaishi kwenye vijiji na kwenye mitaa. Hivyo uongozi wa vijiji na mitaa ni muhimu kwa kila Mtanzania. Kama tujuavyo maofisa watendaji wa vijiji na mitaa ndiyo wasimamizi na waendeshaj...
10/1/2007
na Mwandishi Wetu WIKI mbili tangu wapinzani watoe tuhuma nzito za rushwa dhidi ya viongozi waandamizi serikalini na wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), serikali imetoa tamko ikitoa majibu yake. Serikali ...
10/3/2007
Gervas Zombe MCHAKATO wa kuboresha maisha kwa Watanzania unaoendelea miaka hadi miaka, ni kama hadithi inayofurahisha, kuhuzunisha na kufikirisha pia. Wanaofuatilia ahadi za viongozi, hotuba z...
10/3/2007
M. M. Mwanakijiji TAIFA letu liko katika kipindi cha mpito. Kipindi cha kutoka mawazo ya chama kimoja kuelekea mawazo ya vyama vingi, na kutoka ukiritimba wa hoja za chama kimoja kwenda kwenye ...
10/3/2007
na Ramadhani Siwayombe, Longido WANANCHI wa Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, wameiomba serikali kutengua kibali cha uchimbaji wa madini cha Kampuni ya Mundarara Ruby Mining, kwa kuwa kampuni hiyo ime...
10/3/2007
na Elishekia Isaac MWANASHERIA Mkuu wa kwanza mzalendo nchini, Jaji Mark Bomani, amewataka wanasiasa wanaotishia kwenda mahakamani kumshitaki Katibu Mkuu wa Chadema, Willibrod Slaa, kutokana na kuwash...
10/3/2007
Samson Mwigamba NINA njozi ninayohitaji kuishiriki na Watanzania wenzangu. Njozi ni maono ya mambo yajayo, mambo yatarajiwayo katika siku za usoni. Natamani wanasiasa wa kambi ya ushindani (si...
10/5/2007
MAPEMA wiki hii serikali iliwatawanya mawaziri na manaibu mawaziri na makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mikoani, kwa maelezo ya kwenda kuelezea wananchi ubora wa bajeti ya mwaka 2007/2008. Uamuzi h...