Nakiri kuwa mmoja kati ya wengi ambao hawakuwa wameiona filamu ya Darwins Night Mare kipindi ambacho Rais aliishambulia. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kuusikia mjadala huu kutoka kwa mheshmiwa Rais Jakaya kikwete.