Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

 »  Home  »  Authors  »  Habari Tanzania
Habari Tanzania

Articles by this Author
(Page 1 of 319)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» Meghji atoa mwelekeo wa bajeti tegemezi
By Habari Tanzania | Published 01/1/1970 | Habari za Kitaifa | Unrated
WAZIRI wa Fedha, Zakia Meghji, jana aliwasilisha mwelekeo wa bajeti ijayo ya serikali ambayo inatoa sura ya kuongezeka zaidi kwa utegemezi kwa wafadhili kuliko ilivyokuwa katika mwaka unaomalizika baadaye mwezi huu.
» Nduna: Mwanamke aliyepania kuibadilisha Kilombero
By Habari Tanzania | Published 10/7/2005 | Siasa | Rating:
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), wiki iliyopita kilifanya mafunzo kwa wanawake wanasiasa wanaowania ubunge kupitia majimboni.
» Kikwete na mikakati ya kupambana na rushwa nchini
By Habari Tanzania | Published 03/13/2006 | Siasa | Rating:
RUSHWA ni tatizo kubwa nchini Tanzania na nchi nyingine Duniani, katika kuhakikisha tatizo hilo linapungua, Rais Kikwete ameahidi kuwa bega kwa bega na kuwapa ushirikiano Taasisi ya Kuzuia Rushwa (PCB) katika harakati za kupambana na maovu hayo katika jamii. Mwandishi Gladness Mboma anaelezea zaidi katika makala haya.
» Mitizamo ya wachambuzi wa siasa kwenye uchaguzi uliopita
By Habari Tanzania | Published 03/13/2006 | Siasa | Unrated
UCHAGUZI Mkuu uliofanyika mwaka jana, Oktoba 30 kwa Zanzibar na Tanzania bara, Desemba 14, umeonesha ukomavu wa kisiasa, kidemokrasia na utumiaji wa haki ya kuchagua na kuchaguliwa kuliko ule wa 1995 na 2000.
» Wanawake wazazi wazalishwe na wataalamu wenye ujuzi tu
By Habari Tanzania | Published 05/1/2006 | Jamii | Unrated
Takwimu zinabainisha kuwa,karibu mwanamke au msichana mmoja nchini Tanzania hufa kila saa kutokana na matatizo ya ujauzito na uzazi (kabla na baada ya kujifungua).
» Ngara watahadharisha Rwanda, Burundi kujiunga A.Mashariki
By Habari Tanzania | Published 05/2/2006 | Uchumi | Rating:
Katika ziara yake mkoani Kagera hivi karibuni, Waziri Mkuu Edward Lowassa alipokea kilio cha wazee wa mkoa huo kuhusu tatizo la wahamiaji haramu, mifugo pamoja na hofu ya kujengwa kwa himaya ya kimataifa ya nguvu ya Watutsi katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu.
» LOWASSA: Wahamiaji haramu lazima warudishwe kwao
By Habari Tanzania | Published 05/3/2006 | Jamii | Rating:
Utaratibu unaotumiwa na Waziri Mkuu Edward Lowassa kuwataka wananchi kuuliza maswali kuhusu kero zao mbele ya mkutano wa hadhara na kisha wahusika kutoa majibu papo hapo, unaibua changamoto kwa watendaji kuwajibika zaidi na wananchi kuwa na imani na serikali yao.
» Imani za jadi zasababisha wanawake wajawazito wasijifungulie hospitali
By Habari Tanzania | Published 05/4/2006 | Jamii | Unrated
Vifo kwa akina mama wajawazito wakati wa kujifungua kutokana na sababu mbalimbali ni miongoni mwa matatizo yanayoendelea kuikabili jamii yetu wakati huu ambao dunia inazungumzia kukua kwa sayansi na teknolojia katika nyanja mbalimbali .
» Watanzania watembelee vivutio vya utalii vilivyopo nchini
By Habari Tanzania | Published 05/5/2006 | Uchumi | Unrated
Mwamko wa Watanzania wengi kutembelea vivutio vya kitalii vilivyopo nchini bado ni mdogo kulinganisha na ule wa wageni toka nje ambao wanaingiza mapato mengi katika sekta hiyo.
» Wagombea binafsi urais, ubunge ruksa
By Habari Tanzania | Published 05/6/2006 | Habari za Kitaifa | Rating:

Mahakama Kuu ya Tanzania, imeruhusu wagombea binafsi katika nafasi za Urais na Ubunge.

(Page 1 of 319)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
Blogs by this Author
05/14/2006
Mahari kwa wanawake imekuwa ikitolewa kwa miaka kwa dhamira ya kuunganisha familia mbili za waoaji na waolewaji.