Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa  »  Rais Kikwete amkumbuka Yona
Rais Kikwete amkumbuka Yona
By Habari Tanzania | Published  09/5/2006 | Habari za Kitaifa | Unrated
na Tamali Vullu

RAIS Jakaya Kikwete amemteua, Daniel Yona, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. Uteuzi huo umeanza Agosti 15 mwaka huu.

Taarifa kwa umma iliyotolewa jana na Wizara ya Maliasili na Utalii, inaeleza kuwa sambamba na uteuzi huo, Waziri wa wizara hiyo, Anthony Diallo, amewateua wajumbe watano watakaounda bodi hiyo.

Wajumbe hao ni Tully Mwambapa (Meneja Masoko wa Benki ya CRDB), Raymond Mrope (Mbunge wa Masasi), Profesa Raphael Mwalyosi (Mbunge wa Ludewa), Malima Lubeleje (Mbunge wa Mpwapwa) na Mohamed Nathani (Mwenyekiti wa Shirikisho la Utalii Tanzania).

Diallo amewateua wajumbe hao kwa mujibu wa sheria namba 18 (1992), iliyoanzish Bodi ya Utalii nchini.


How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments


Article Options
Your Favorite Articles
View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
  6. Prosper Kwigize
  7. Ramadhan Semtawa
  8. Salehe Mmoro
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.