Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa  »  Rais Kikwete awakuna wadau
Rais Kikwete awakuna wadau
By Habari Tanzania | Published  08/31/2006 | Habari za Kitaifa | Unrated
na Daniel Misheto

MASHABIKI kadhaa wa soka wameahidi kufurika kwenye Uwanja wa Taifa keshokutwa ili kuishangilia timu ya taifa, Taifa Stars itakayokwaana na Burkina Faso katika mchezo wa awali kuwania kucheza fainali za Mataifa ya Afrika huko Ghana 2008.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti juzi kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es Salaam, mashabiki wengi wameonyesha kutiwa moyo na ziara ya ghafla ya Rais Jakaya Kikwete aliyoifanya juzi.

Mmoja wa mashabiki hao, Jumanne Mbaraka aliyejitambulisha kwamba ni mfanyabiashara sokoni Kariakoo, alisema kwamba ana matumaini Stars itashinda kwa jinsi inavyojiandaa chini ya Kocha Mkuu, Mbrazil Marcio Maximo.

Mdau mwingine, Emmanuel Eliwedi aliyejitambulisha Mhandisi Mwandamizi wa Kampuni ya ME & Co. Ltd ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, alisema kwamba licha ya timu hiyo kuwa chini ya Maximo kwa kipindi kifupi, lakini kwa jinsi ilivyojinoa, ana imani


How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments


Article Options
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
  6. Prosper Kwigize
  7. Ramadhan Semtawa
  8. Salehe Mmoro
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.