Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa  »  Mwanafunzi mwenye kipaji cha ajabu aunda mitambo ya kurusha matangazo ya redio
Mwanafunzi mwenye kipaji cha ajabu aunda mitambo ya kurusha matangazo ya redio
By Prosper Kwigize | Published  06/29/2006 | Habari za Kitaifa | Rating:
Kibondo
Mwananfunzi mmoja wa shule ya sekondari Maragalasi wilayani Kibondo amefanikiwa kuunganisha mitambo na kurusha matangazo ya radio katika eneo la Kibondo mjini.
 
 Mwanafunzi huyo Eliud Kajuna mwenye umri miaka 20 anayesoma kidato cha nne akihojiwa na radio Kwizera amesema alifanikiwa kurusha matangazo yake mwezi april wakati akisherehekea sikikuu ya pasaka mwaka huu.
 
 Amesema yeye ni mtoto wa fundi mitambo hususani radio na saa na kwa kuishi na mzazi wake amekuwa akiona kazi hizo na kutamani kujifunza fani hiyo na kwamba amekuwa akipata fursa ya kufanya majaribio.
 
 Bw. Kajuna amebainisha kuwa yeye licha ya kjifunza masomo ya sayansi amekuwa na hamu kubwa ya kufanya kazi za utangazaji na ufundi hali iliyomsukumu kubuni chombo cha matangazo.
 
 Akaielezea jinsi alivyofanikiwa kurusha matangazo yake kwa mawimbi ya FM 108.00MHZ amesema alibadilisha mfumo wa radio za kawaida kupokea na kuiwezesha kurusha matangazo yake.
 
 Mwanafunzi huyo amesema mpango wake ni kuendelea kujifunza zaidi ili afanikiwe kuanzisha kituo chake cha radio kwa lengo la kuwasaidia watoto wengine wenye vipaji mbalimbali.
 
 Aidha kijana huyo anaomba msaada kwa wadau wa maendeleo ili afanikiwe zaidi katika ubunifu wake hususani kielimu na vifaa vya kufanyia majaribio.
 

How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments
  • Comment #1 (Posted by sam.buberwa)
    Rating
    this an excellent try .ministry of educaction needs to assit him .
     
  • Comment #2 (Posted by sam.buberwa)
    Rating
    this an excellent try .ministry of educaction needs to assit him .
     
  • Comment #3 (Posted by sam..buberwa)
    Rating
    we need to arrang fund raising for him .
     
  • Comment #4 (Posted by sam.buberwa)
    Rating
    fund raising needs to be done in between julai and november before national exams.
     
  • Comment #5 (Posted by sam.buberwa)
    Rating
    fund raising needs to be done in between julai and november before national exams.
     
  • Comment #6 (Posted by an unknown user)
    Rating
    THE QUALITY IS EXCCENT
     
  • Comment #7 (Posted by QK)
    Rating
    kWANZA KABISA NAMPONGEZA KIJANA HUYO KWA KUWA MBUNIFU KIASI HICHO, KWANI NI VIJANA WACHACHE SANA KWA TANZANIA HII NI WABUNIFU,PIA NAMTAKIA MAFANIKIO MEMA HUKO MBELENI NA MUNGU AIFANYA NDOTO YAKE KUWA YA KWELI.VILEVILE NAIMANI KUBWWA KUWA WAPO VIJANA WA AINA HII HUKO MIKOANI ILA HAWAJAFIKIWA NA MTANDAO HUU BASI NI VYEMA KAMA WAKIFAHAMIKA INAWEZEKANA KABISA WAKAUNGANISHWA NA TAASISI ZINAZOSHUGHULIKA NA VIPAJI MBALIMBALI KAMA VETA ILI KUINUA VIWANGO NA KUDUMISHA TAALUMA HIZO AMBAZO NI HAZINA KUBWA KWA TANZANIA.NAOMBA MTANDAO HUU UJITAHIDI KUWA FIKIA WALIOPO.
     
  • Comment #8 (Posted by JOSEPH W.KANUMBA)
    Rating
    SERIKALI IMSOMESHE ZAIDI KWA FAIDA YA FAMILIA NA TAIFA KWA UJUMLA
     
  • Comment #9 (Posted by Josephat Sanda)
    Rating
    Kazi nzuri na endeleeni kuibua vipaji zaidi vya vijana wetu.
     
  • Comment #10 (Posted by Nyinisaeli)
    Rating
    Radio Kwizera, I think this is the best student to help and develop. Keep it up as far as you're in the field already and you are doing the same work.
     
  • Comment #11 (Posted by Pius Kimati)
    Rating
    Kwa kweli inafurahisha sana , Tunaimba Serikali yetu iwe begakwa bega naye ili basi akue katika wito wake huo.
    Hiki ni kipaji maalum!
     
  • Comment #12 (Posted by Steven)
    Rating
    He should be encouraged to develop more
     
  • Comment #13 (Posted by Kalege)
    Rating
    its wonderfully, its time to raise our tallented young stars, he can bring respect to the nation if given support.
     
  • Comment #14 (Posted by ireneus mushongi)
    Rating
    this guy is genius..something MUST be done..
    We should not waste talents like that..let's do something n wud like d media to initiate something aboutit
     
  • Comment #15 (Posted by Nuru)
    Rating
    Inapendeza kuona kijana mdogo kamu huyo anakipaji, ni jukumu la wazazi kukuza/kuendeleza vipaji vya watoto ili waje wawe changamoto watakapo kuwa wakubwa na waweze kujiarili wenyewe.

     
  • Comment #16 (Posted by halima)
    Rating
    exellent
     
  • Comment #17 (Posted by Joseph Roman)
    Rating
    Nampongeza sana huyo kijana kwa kuwa mbunifu mzuri ambaye serikali yetru kama itamtumia vizuri kutakuwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia hapa nchini.tunaomba serikali imsaidie ktk kukuza kipaji chake hicho. asante
     
  • Comment #18 (Posted by Hussein Njovu)
    Rating
    Pamoja na kumsifu kijana huyu, namshauri majaribio yake yawe ya kisayansi zaidi na si tu kujaribu na kufanikiwa. Anapaswa aelewe kitu gani kimefanyika katika majaribio yake hata akaweza kurusha matangazo. Ikiwezekana awe na kumbukumbu za kimaandishi za kazi yake hata mtaalam yeyote atakayetaka kumsaidia aweze kushawishika na maandishi hayo kwanza na si matokeo hai.
     
  • Comment #19 (Posted by Paulina Andrew)
    Rating
    Kwanza nampa pongezi nyingi sana huyu kijana kwa ubunifu wake na asikate tamaa kwani ameweza kufanya kitu ambacho ni cha kutumia akili
     
  • Comment #20 (Posted by jmk)
    Rating
    Think big young boy. The world is changing towards using radio frequency to identify people and objects(RFID).It is quick, convinient,reliable and time saving in many aspects. This can pay you much than your own radio station. Just create tags and readers, use the frequency like you did in the radio, become another Bill Gates from Tanzania. Government "Fungua njia" kitoto chatambaa", kikipaa watafaidi wengi.Good job.
     
  • Comment #21 (Posted by sankajohn)
    Rating
    anafaa kuigwa na watoto wengine na hata,jamii kwajumla.
     
  • Comment #22 (Posted by Jane Nyagwegwe)
    Rating
    Hongera kwa huyo kijana,ujuzi kama huo ni wachache walionao. Tuma maombi kwenye vyuo mbalimbali nje ya nchi.
     
  • Comment #23 (Posted by chakubanga)
    Rating
    As much as I would like to congratulate him. I will also bust his bubble. This is nothing new. It is called radio piracy. IN London and USA we do this from home, using very small equipments and interfere with wavelenght. It is illegal, but do able. All you need is a transmitter. However If this kid has found another radio frequency, besides Frequency Modulation or Analog Modulation and has used something of his own to create this, than i would say KUDOS. AM not impressed. In the land of Blind, with one eye is the king.
     
  • Comment #24 (Posted by SINGA)
    Rating
    Mungu akubariki. ´
    serikali msomeseni mtoto huyu.
    wazungu hutuzidi kwani akitokea mtoto
    mwenye kibaji humwendelesha háeaka, na kumpa vifaa vya kujifunzia. TANZANIA tunaweza pia, SERIKALI JARIBU HILI MUONE, MAENDELEO YAJA YENYEWE.
     
  • Comment #25 (Posted by Alex)
    Rating
    Nampa hongera kijana huyu kwa kutaka kujifunza zaidi. Namuomba awasiliane nami kwa anuani hiyo hapo juu, naahidi kumpa msaada wa nadharia na vitendo katika kuunda mitambo mingine ya ajabu zaidi na zaidi. Hapa nilipo nina ramani kadhaa za vifaa vya kielektroniki, kama vile vipaza sauti, vikuza sauti (amplifiers) vibadili umeme (inverters), AM &FM transmitters nk, kwa hiyo kama ana moyo huo wa kujifunza namkaribisha kwa mikono miwili.
     
  • Comment #26 (Posted by Leonard)
    Rating
    wow , congrants ma brother , that was really good thing , keep it up u can do it ingekuwa vizuri serekali angemusaidia ili asome kabisa , that's awesome!keep it up . mwisho ni kwanini hatuwezi kusikiliza radio kwizera kwenye computer? kama sisi tuko ulaya naoma more information about that!kama kuna any information niandikie kwa hii email Leonard_ndabahinuye@yahoo.com
     
  • Comment #27 (Posted by mwita)
    Rating
    Safi sana, akasome dar technical ama univesity, na huku apewe nafasi awe akifanya mazoezi/internship redio mbali mbali kila wakati -kusoma asiache. Au aanzie Ifundfa Iringa chuo cha ufundi kama hafikia kwenda university .
     
Submit Comment


Article Options
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  3. Is Tanzania a safe place to invest?
  4. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
  5. Nitaendelea kugombea nafasi za kisiasa- Balozi Karume
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Linda Garner
  4. Nthelezi Nesaa
  5. Marshy Abdu
  6. Prosper Kwigize
  7. Salehe Mmoro
  8. Ramadhan Semtawa
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.