Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa  »  Kikwete ateua wasaidizi
Kikwete ateua wasaidizi
By Habari Tanzania | Published  06/23/2006 | Habari za Kitaifa | Unrated

RAIS Jakaya Kikwete amewateua wanawake watatu kuwa maafisa katika ofisi yake binafsi.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyopatikana jana, walioteuliwa ni Elsie Kanza kuwa msaidizi wa Rais wa Mambo ya Uchumi, Fatma Mwasa kuwa Msaidizi wa Rais wa Masuala ya Jamii na Premiere Kibanga kuwa Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi.

Taarifa hiyo inaeleza kuwa Kibanga atakuwa akishirikiana na Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi wa sasa, Maura Mwingira.

Kabla ya uteuzi huo, Kanza alikuwa msaidizi maalumu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Mwasa alikuwa Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Habari wa TACAIDS na Kibanga alikuwa Afisa Habari wa Shirika la Wakimbizi Duniani (UNHCR) Kusini mwa Sudan .

Taarifa inaeleza kuwa usteuzi huo unaanza mara moja


How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments


Article Options
This article has been added to your 'Articles to Read' list.
Your Favorite Articles
View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
  6. Prosper Kwigize
  7. Ramadhan Semtawa
  8. Salehe Mmoro
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.