Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa  »  Mwenyekiti adaiwa kuzini
Mwenyekiti adaiwa kuzini
By Habari Tanzania | Published  02/7/2007 | Habari za Kitaifa | Rating:
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, mkoani Iringa, Onna Nkwama amefikishwa mahakamani akituhumiwa kuzini na mke wa mtu.

Nkwama ambaye hata hivyo hakuweza kufika mahakamani jana amefunguliwa kesi hiyo na Ephraim Cheyo, Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wilayani Makete. Katika kesi hiyo Cheyo anamtaka Mwenyekiti huyo kumlipa fidia ambayo hata hivyo haikuwekwa wazi.

Kesi hiyo ilitajwa jana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Iringa, Sekela Mwaiseje. Hata hivyo wakili anayemtetea mlalamikaji, Justin Mshokorwa na wakili wa upande wa utetezi, Basil Mkwata kwa pamoja waliiomba mahakama kuipeleka kesi hiyo katika baraza la usuluhishi la mahakama iweze kupatiwa ufumbuzi.

How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments


Article Options
Your Favorite Articles
View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
  6. Prosper Kwigize
  7. Ramadhan Semtawa
  8. Salehe Mmoro
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.