Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa  »  Kikwete ziarani ughaibuni kwa wi ki mbili
Kikwete ziarani ughaibuni kwa wi ki mbili
By Habari Tanzania | Published  10/29/2006 | Habari za Kitaifa | Rating:
Na Mwandishi Wetu

RAIS Jakaya Kikwete anaondoka leo nchini kuelekea nchi kadhaa za Asia, Falme za Kiarabu ambako atakuwa na ziara ya zaidi ya wiki mbili.

Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana ilieleza kuwa ziara hiyo ambayo ni kutokana n a mwaliko wa viongozi wa nchi hizo.

Ziara hiyo, ambayo ni mfululizo wa safari zake, itamfikisha Japan, China, Korea Kusini pamoja na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Rais atarejea nchini Novemba 13.

Katika ziara hiyo Rais Kikwete ataongoza na mkewe, Salma, Waziri wa Mipango, Uchumi, Uwezeshaji, Dk Juma Ngasongwa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Zanzibar (Fedha na Uchumi), Mwinyihaji Makame .

Wengine ni Naibu Waziri wa Fedha, Mustafa Mkullo na Mbunge wa Muhambwe, Felix Kijiko.


How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments
  • Comment #1 (Posted by an unknown user)
    Rating
    Was verry much worried that MR.President will visit N.KOREA in his tour of ASIA, A state which in officialy web site of CCM,which Kikwete is a chairman, their ruling party is an allie of CCM.Is it a turning point?Kikwete will visit S.KOREA,which in my first passport was..."all countries of the world except S.KOREA,S.AFRICA AND ISRAEL".We were good friends of N.KOREA,is MR.chairman now,after meeting G.W.BUSH changing polices?N.KOREA is just there next door,why you dont visit?Now,what about IRAN?Its also in the list of axis of evil according to white house.Yes Mr.PRESIDENT,you have made a good decision of not going there,but let us the stand of Tanzania in the whole issue,and advice CCM BUDIES who are dealing with foreing policy to change their approch,and remove the hammer and hoe banner of the CCM because CCM is NO LONGER CHAMA CHA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI.!!!
     
  • Comment #2 (Posted by an unknown user)
    Rating
    I am just wondering if this trip is aimed at fattening some people's pockets, or it will real be fruitful to the Tanzanians, for sure it will be for the Chinese in Bei Jing
     
Submit Comment


Article Options
Your Favorite Articles
View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
  6. Prosper Kwigize
  7. Ramadhan Semtawa
  8. Salehe Mmoro
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.