Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa  »  Sikukuu njema
Sikukuu njema
By Marshy Abdu | Published  10/23/2006 | Habari za Kitaifa | Rating:
Sikukuu njema

Mfungo mtukufu wa Ramadhani umeisha leo hii na kesho watanzania wataungana na waislamu wenzao dunia nzima katika kusheherekea sikukuu ya  IDD-EL-FITR ni sikukuu  kubwa katika dini ya kiislamu

Enyi mlioamini mmefaradhishiwa kufunga saumu kama walivyofaradhishiwa kabla yenu ili mpate kumcha Mwenyezi mungu,na waislamu walilitekeleza amrisho hilo la muumba na kulimaliza salama tunamshukuru Mwenyezi mungu.kesho hata kama unaijua vipi dini ni sikukuu na haitakiwi kufunga ni kharam,tusherekee kwa pamoja bla kufanya mambo yoyote ambayo ni kinyume na sheria za mwenyezi mungu

Habaritanzania.com inawatakia waislamu wote na watanzania kwa ujumla

IDD-EL-FITR      njema


How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments
  • Comment #1 (Posted by mkojoaji)
    Rating
    Mpenzi mi nal aidina,
    Mpenzi wangu minal faidhina,
    Kwa mapenzi na furaha,
    Mpenzi wangu ninakupa
    Mkono wa IDD
    Mi nakupa
    Mkono wa IDD
    Ea ndugu tupeane
    Mkono wa Idd
    IDD MUBARAK
     
  • Comment #2 (Posted by Floriana)
    Rating
    Today is great day for those who were fasting the holly month in islamic calender(RAMADAAN)is a day of happiness and joy.
    Enjoy your hollyday
    EDD MUBARAK
    BOA FESTA
     
  • Comment #3 (Posted by mkojoaji)
    Rating
    mpenzi wangu minal aidina
    mpenzi wangu minal faidhina
    kwa mapenzi na furaha
    mpenzi wangu ninakupa
    mkono wa idd
    watanzania tupeane
    mkono wa idd
    idd njema
    IDD MUBARAK
     
Submit Comment


Article Options
Your Favorite Articles
View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
  6. Prosper Kwigize
  7. Ramadhan Semtawa
  8. Salehe Mmoro
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.