Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa  »  Muuza samaki mshindi Voda Milionea
Muuza samaki mshindi Voda Milionea
By Habari Tanzania | Published  10/9/2006 | Habari za Kitaifa | Unrated
na Dina Zubeiry

MFANYABIASHARA wa samaki wa eneo la Mafiga mkoani Morogoro, Fikiri Yusufu (37), jana aliibuka mshindi wa tatu wa sh milioni saba wa shindano la Voda Milionea.

Droo hiyo ya 21 ni sehemu ya promosheni ya miezi miwili inayowahusisha watumiaji wa mtandao wa Vodacom. Bahati Nasibu hiyo ilisimamiwa na ofisa kutoka Michezo ya Kubahatisha, Sadick Eliamsu.

Akizungumza mara baada ya droo hiyo juzi, Mratibu wa Mahusiano na Matukio wa Vodacom, Rukia Mtingwa, aliwataka wateja wa kampuni hiyo kuendelea kuongeza muda wa maongezi, ili kuweza kupata nafasi ya kujishindia zaidi.

Jumla ya washindi 21 wameshapatikana mpaka sasa tangu kuzinduliwa kwa promosheni hiyo.



How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments


Article Options
Your Favorite Articles
View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
  6. Prosper Kwigize
  7. Ramadhan Semtawa
  8. Salehe Mmoro
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.