Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Habari za Kitaifa  »  'Wakimbizi si chanzo cha ujambazi’
'Wakimbizi si chanzo cha ujambazi’
By Habari Tanzania | Published  10/8/2006 | Habari za Kitaifa | Unrated
na Lucy Ngowi

UWEPO wa wakimbizi nchini si chanzo cha kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu, vikiwamo vya ujambazi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Utetezi wa Haki za Binadamu mkoani Dodoma, Dk. Emmanuel Kandusi, alisema hayo alipokuwa akifungua semina ya waandishi wa habari iliyofanyika ijini Dar es Salaam jana.

Alisema hali hiyo imefanya hata haki ya wakimbizi isionekane na wakati mwingine wamewekwa katika kundi la watu waliokosa mwelekeo, hivyo kuhusishwa na matendo maovu kama ujambazi.

“Wakati wowote linaweza kutokea jambo fulani ukajikuta na wewe ni mkimbizi, haijalishi upo nchi ya amani,” alisema Dk. Kandusi.

Naye Mkuu wa Mradi wa Mtandao wa Asasi za Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika kuhusu masuala ya wakimbizi na haki zao (SAHRINGON), Ancillah Nyanjige, alisema kuwa mkimbizi ana haki ya kupata maisha bora, chakula na malazi kama mtu mwingine yeyote.

Aliishauri jamii iwatambue wakimbizi na kuwatekelezea haki zao za msing


How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments


Article Options
Your Favorite Articles
View All Favorites
Articles to Read
You Recently Viewed...
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
  3. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Marshy Abdu
  4. Linda Garner
  5. Nthelezi Nesaa
  6. Prosper Kwigize
  7. Ramadhan Semtawa
  8. Salehe Mmoro
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.