Comment #1
(Posted by Juma M Juma) Rating
Well done to bring this opportunity.
Keep it up
Comment #2
(Posted by crepinus rwegasira) Rating
Let the join us for more solidality.
Comment #3
(Posted by edward) Rating
Please let them organize their own community (Burundi & Rwanda) These two countries are not honest they will kill us!! like how they kill themselve!!!!
My vote- 100% NO!
Comment #4
(Posted by Jane Moshi) Rating
I THINK RWANDA AND BURUNDI SHOULD NOT BE INVITED TO THE EA COMMUNITY.WE DON'T WANT TO
FIGHT AND WE DON'T WANT PROBLEMS.
Comment #5
(Posted by Nasser Salim) Rating
It will be very good for all country to join together
Comment #6
(Posted by Michael Gatunga) Rating
We have enough problems as it is!
Comment #7
(Posted by Fabian Mesanga) Rating
Kwa sasa Burundi na Rwanda wasiruhusiwe kujiunga na EAC mpaka kwanza kuwe na amani ya kuridhisha katika nchi zao. Sasa hivi kuna kesi ya uhaini Burundi na hatujui hatma yake itakuwa nini na matokeo yake. Rwanda nako siyo shwari, mauaji yanaripotiwa kwenye vyombo vya habari. Tuwe kama watu wa European Union ambao huchukuwa muda mrefu kumkubalia anayeomba kujiunga nao. Wakati huo mrefu unawezesha nchi wanachama kuchunguza vitu vingi vinavyomhusu anayeomba uanachama kama: haki za binadamu, hali ya uchumi, hali ya kisiasa n.k. Hivyo basi tusifanye haraka ya kuwapokea Burundi na Rwanda wakati wote tunajua historia zao. Hata hivyo wanachama wa sasa bado hatujapiga hatua kubwa katika umoja huo kwa mfano mambo ya forodha, uhamiaji, ardhi, ajira n.k havijawekwa bayana, vina utata.
Comment #8
(Posted by Wile) Rating
Rwanda na Burundi wakijiunga EA itarahisisha wao kuwa na amani.EA itawalizima kuwa na amani kama mmojawapo ya sheria za kujiunga.Asante
Comment #9
(Posted by Tom Sikar) Rating
Nadhani Rwanda sawa wakijiunga na EAC lakini Burundi hapana. Uchumi wa Rwanda umekuwa ukikuwa vizuri kuliko hata ule wa Tanzania ambayo imekuwa kwenye amani miaka yote. Ni vema kushirikiana na Rwanda kwani nchi kama Tanzania utafaidika zaidi kutoka na ushirikiano huo. Rwanda itaitegemea zaidi Tanzania kwenye mawasiliano ya bandari ili uchumi wake uendelee kukuwa na hivyo Tanzania itafaidika na ushirikiano huo. Mara nyingi nchi kama Kenya haitegemei sana Tanzania kwa mambo mengi ya kuinufaisha Tanzania vile vile bali tu kama soko la bidhaa zake. Hivyo Rwanda itakuwa alternative nzuri kwa Tanzania. Burundi bado kwani wao bado wanamalizana kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Comment #10
(Posted by an unknown user) Rating
i think this is not a good time for Rwanda and Burundi to join EAC until they figure out how to live aside their ethnic backgrounds and learn to live together and embrace peace and harmony.....we just can not afford having their problems spread across our peaceful nations
Comment #11
(Posted by MTURI A.B) Rating
What are the criterias of joining the EAC?NONE so far,so soon Somalia can also apply,it shares border with a member state.Fabian Masenga,in summary wanted to tell you that PUT CLEAR CRITERIA for new applicants,because even the present EAC is still a baby.NO to new admissions untill we put our own house in order.
Comment #12
(Posted by an unknown user) Rating
Hatutaki shirikisho ambalo lime-float-iwa kutoka juu. Viongozi wetu sasa wanapenda kuundwa kwa Shirikisho hilo, je, wananchi wakikataa, Shirikisho hilo halitazaliwa? Au tutaambiwa kuwa kukataa kwetu kunapitwa na wakati?
Bado kila nchi ina matatizo yake. Kila nchi isafishe nyumba yake. Burundi: Watwa ongeza Wahutu ongeza Watusi = Burundi. Rwanda: Watwa ongeza Wahutu ongeza Watusi = Rwanda. Uganda: Kasikazini kunayumba hakumtaki M-7 (mwenye tabia ya maneneo machafu ya kutukana na mwenye shingo isiyopindika - ngumu kama chuma - na mipangilio ya kudumisha falme baguzi za kijadi za kusini mwa nchi hiyo. Kenya: Haina State-moyo, bado yautafuta. Tanzania yangu badi ina tatizo la Zanzibari Factor.
Tuondoe matatizo haya. Halafu wananchi waulizwe kama wanapenda hilo Shirikisho.
Comment #13
(Posted by Economist S M) Rating
Definitely, a plus to allow Rwanda and Burundi. Africans need to remove barriers and engage in free trade.
Comment #14
(Posted by Aggie) Rating
These 2 countries requested to join the EAC since 1996 but its too early to invite them,mind U the first EAC was not successfuly due to political differences and it comprises only 3 countries.In the year 1999 The EAC have started afresh.So members of the EAC need time to settle things out.Thereafter they may join the Community
Comment #15
(Posted by Agnes) Rating
They have to wait till the EAC get stronger and stable, right now the EAC have not successed to implement all of its plans
Comment #16
(Posted by Binti) Rating
Wanahitaji kucivilize more Burundi na Rwanda, kama most of the Afr/french countries, kabla hawajajumuika na sisi.
Waache ukabila, na elimu yao ni low sana.
They CAN'T be with us, all they know is to creat a lebels! Na kuuana! Hawajatulia wanatrain tu! Ngojeni muda mchache mtasikia.
Comment #17
(Posted by MAMSIKA) Rating
Asalaam,waacheni wajiunge ila wakae wakijua wakileta uchu wao wa madaraka tutawatandika wamuulize Nduli I.Amini hamna muda wa kuendekeza wapuuzi wakati watu tunataka maendeleo tusonge mbele kimaisha wao wanaleta ukatili uaji kwakweli wanasononesha hivi unaambiwa uwa halafu hujui kwamba huyo aliekwambia uwa atamwambia mtu mwingine akuue na wewe halafu hupati chochote jamani hamna dini hata waliokuwa hawana dini wanaupendo heh nyie vipi kama mtu amechoka kuishi na binadamu aende kubadilisha mawazo na chui porini apate changamoto sasa nasema AFRIKA tuache kuwa mambumbumbu kudanganywa, mngekuwa safi sidhani kama mtu atasema lolote tunawapenda na ninawaombea Amani ya kweli na muweze kukaribia kwenye Muungano wa Afrika Mashariki,MAPIGANO ACHENI MNAMPIGANIA NANI NYIE?????
Comment #18
(Posted by Phina Roba) Rating
Natumahi ni vizuri Burundi na Rwanda wakubaliwe kujiunga na EAC, ndivyo waweze kujirekebisha na kujifundisha pamoja na utatu wa Uganda, Tanzania na Kenya kama bado jumuiya ni changa.
Comment #19
(Posted by Mwapombe A, Mbwana) Rating
Tafadhali tumechoshwa na misuko suko ya hawa watu. Mnajua asiyeipenda nafsi yake si rahisi kupenda ya mwenzake. Hawa watu hawajipendi wao wenyewe itakujwaje juu yetu? Inajulikana wazi kuwa hawa wana uchu wa madaraka, utajiri na wapo tayari kumwaga damu kwa ajili hiyo, tena pia ni wachoyo wa nafsi zao watawezaje kuishi na watu rahim na wapenda haki, amani na wavumilivu kama watanzania? Siwaamini hata chembe ya mchanga. Hawaaniki kabisa. Haiwezekani kuwa nao pamoja. wajiunge na watu wengine ambao wanawezana na sio sisi.
Comment #20
(Posted by Cecilia B. Shiyo) Rating
Hawa ni wanaukabila uliokithiri sana hivyo basi hawawezi kufit katika category yetu. Hawaogopi kuuwa tena kuuwa kwa makundi makubwa kwa ajili ya kutaka madara, utajiri na kuendeleza ukabila na ubinafsi kwa ujumla. Ni watu wasio na upendo ndani ya mioyo yao. Hawaogopi hata Mungu; na sidhani kama wanaabudu Mungu. Hawa chembe ya huruma, hawana ubinadaamu hata utu kidogo. Hawa hawaelekei kubadilika hata kama Mungu atashuka na wakamshuhuduia.
Comment #21
(Posted by Mnono) Rating
Rwanda and Burundi of today is not of yesterday. So I think Tanzanians should not be talking big as if they are doing those two country a favor. This is win -win situation so some of you should quit that attitude of thinking those countries as a burden !!!!
Kwa kuwa kasi ya uchumi wa nchi yetu TANAZNIA inakuwa na ajira kwa vijana wengi kukosekana, pia na kutokuwa na vitambulisho vya Urai basi naona si muwafaka kwa kukaribisha Wahutu na Watusi kuingia nchi zetu kiholela na kufanya makaaazi ili isje kuleta taathira ya majanga tusiyoyatarajia nchini mwetu ya ubaguzi , ujambazi kuzidi na ukosefu wa ajira kuzidi.
Tuwe makini watanzania tusikubali kufanywa doli tunatiwa ufunguo na kucheza na kuwatumia wengine wanaotaka maslaha kwao na sisi kurudi nyuma daima.
Mtanzania Halisa
Abdul
Comment #23
(Posted by stevemulisa) Rating
Why Tanzanians are biased the way they are, Rwanda and Burundi of to day is not of yestarday, i wander what you will say if war tone countries of Sudan and Somalia continue to submite their applications to join EAC. (we have been driving without any body directive)
Comment #24
(Posted by Jean) Rating
Msifanye mchezo kuluhusu Kagame kwingia EAC nakwambia mtakoma jamaa anapenda madalaka sana pia ni mtu mubinafusi sana hatutashangaa akitaka kuwa mukuu wa shilikisho sasa akikataliwa atanzisha visa Nivizuli Tanzania na Kenya kusaidia kurudisha utawabala bora Rwanda kisha ndio muwakubalie kwingia kwenye EAC kwasaba jamaa ameingia kutumia Vita akayiba kula zawanainchi sasa itakua je mtu kama huyu aluhusiwe kwingia kwenye EAC twache kumupamba sisi wanyarwanda tunajua ni muuaji mukubwa tena nivizuli Kibaki Na Kikwete bakasaidia kumufikisha mahakamani kama wailipo fanya OBSANJO kumupeleka CHALRES TYOLR wa Liberia sasa hivi Libelia kumeturia sasa tunaomba wanainchi wa Kenya na Tanzania watusaidie sisi wanyarwanda kumufikisha jamaa huyu Arusha akakutane na Mjaji huyu jamaa ni muuaji mukubwa sana pia anasiadiwa na USA amtutesa sana tumechoka sana
mambo yakumukaribisha EAC sisi hatusaidie chochote tunataka utawala bola Rwanda kama ninyi Kenya Na Tanzania sasa tuanomba musada wenu sana
sisi uku kwetu hatuseme tunakatazwa ukisema vibaya unafugwa aho kufa sasa musione tuko kimya mkafikili tuko salama tunaogopa kusema vibaya Kagame
lakini tunamuombea Mungu tuu