Kansa ya maziwa ni kansa anayoipata mwanamke yeyote wakiwemo watanzania,
Kansa inamuathiri mwanamke mmoja kati ya wanane Duniani kwa maana hiyo hiyo hu ni mwezi wako wewe mwanamama wa kuwa makini na kuyatathimini maziwa yako kwa kipindi na siku zote za uhai wako,
Mgonjwa wa kansa anaweza kuishi vizuri na kwa muda mrefu kwa kufuata masharti ya kula vizuri na kuwa na uzito wa kawaida
Mmoja kati ya waathirika wa ugonjwa huo bibie Vanesa Pillay kutoka Durban Afrika ya Kusini anchokifanya yeye sasa hivi ni kuwa makini na maziwa yake na anaishi kama mtu wa kawaida tu,
Dalili za ugonjwa huu ni mabadiliko ya maziwa kutoka katika hali ya kawaida na kuwa na uvimbe ndani yake na inakuwa vigumu kuutambua mwazoni kwa macho na unapochukua muda mrefu pia huwa ni vigumu kutibika
Habari Tanzania.com inawatakiwa kina mama wote duniani kuwa makini katika mwezi huu wa ugonjwa huu na kila mara