Katika dini zote duniani zinaeleza ya kwamba Adam ni kiumbe cha kwanza kumbwa na baada ya kuoneka mpweke Mwenyezi mungu mtukufu akaamua kumuumbia partner ambaye ni Hawa (Eve) huyu ni mwanamke na wala sio mwanaume,
Sasa cha kushangaza katika dunia hii ambayo imebadilka kutokana na ufinyu wa akili kwa kuwafuata watu fulani sababu wana hela na kubadili maadili ambayo mwenyezi mungu mpendwa ametuwekea na kuufuata ufirauni ambao mwisho wake tunaambiwa na vitabu vya dini ni mbaya,
Enyi watu muabuduni muumba wenu na kufuata maarisho yake na kuacha makatazo yake na muawapende Wake zenu na watoto wenu nafikiri hapo pameeleweka,
hakuna hata kitabu kimoja cha dini kilichoruhusu usagaji na ushoga kama hukubali wewe jeuri na kama hutaki hutibiki
Tendo hili la ushoga lilipingwa vilivyo na Mumba baada ya kupeleka Gharka pale Palestine ya sasa wakati wa utume wa Nabii Lutw na mpaka sasa bado linapingwa na muumba,
Mashoga na wasagaji mnatuharibia jamii yetu kwa kufanya mambo kinyume na utu na mamrisho ya mungu kwanini uingiliwe/uingile mwanaume mwenzako?wakati muumba kaumba jinsia mbili tofauti ili tuweze kupeana raha ya dunia
Rais Robert Mugabe maarafu huko Zimbabwe kwa jina la BOB,alipinga kitendo cha Mashoga na Wasagaji kufunga ndoa kwa kuamrishwa Mbwa wawili madume wawekwe katika banda moja kwa usiku kucha na endapo watajaamiana basi Mashoga wangeweza kuoana vinginevyo ndoa kama hizo hazitakiwi nchini Zimbabwe na nakuomba mkuu wa nchi yetu hii ya Tanzania kutoruhusu ndoa hizi za kishetani