Kitaifa
   Siasa
   Jamii
   Uchumi
   Makala

 

Search


Advanced Search

 »  Home  »  Jamii  »  Wasagaji na Mashoga samahanini
Wasagaji na Mashoga samahanini
By Marshy Abdu | Published  10/5/2006 | Jamii | Rating:
Wasagaji na Mashoga samahanini

Katika dini zote duniani zinaeleza ya kwamba Adam ni kiumbe cha kwanza kumbwa na baada ya kuoneka mpweke Mwenyezi mungu mtukufu akaamua kumuumbia partner ambaye ni Hawa (Eve) huyu ni mwanamke na wala sio mwanaume,

Sasa cha kushangaza katika dunia hii ambayo imebadilka kutokana na ufinyu wa akili kwa kuwafuata watu fulani sababu wana hela na kubadili maadili ambayo mwenyezi mungu mpendwa ametuwekea na kuufuata ufirauni ambao mwisho wake tunaambiwa na vitabu vya dini ni mbaya,

Enyi watu muabuduni muumba wenu na kufuata maarisho yake na kuacha makatazo yake na muawapende Wake zenu na watoto wenu nafikiri hapo pameeleweka,

hakuna hata kitabu kimoja cha dini kilichoruhusu usagaji na ushoga kama hukubali wewe jeuri na kama hutaki hutibiki

Tendo hili la ushoga lilipingwa vilivyo na Mumba baada ya kupeleka Gharka pale Palestine ya sasa wakati wa utume wa Nabii Lutw na mpaka sasa bado linapingwa na muumba,

Mashoga na wasagaji mnatuharibia jamii yetu kwa kufanya mambo kinyume na utu na mamrisho ya mungu kwanini uingiliwe/uingile  mwanaume mwenzako?wakati muumba kaumba jinsia mbili tofauti ili tuweze kupeana raha ya dunia

Rais Robert Mugabe maarafu huko Zimbabwe kwa jina la BOB,alipinga kitendo cha Mashoga na Wasagaji kufunga ndoa kwa kuamrishwa Mbwa wawili madume wawekwe katika banda moja kwa usiku kucha na endapo watajaamiana basi Mashoga wangeweza kuoana vinginevyo ndoa kama hizo hazitakiwi  nchini Zimbabwe na nakuomba mkuu wa nchi yetu hii ya Tanzania kutoruhusu ndoa hizi za kishetani


How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Add comment
Comments
  • Comment #1 (Posted by mkojoaji)
    Rating
    Hayo uliyosemani ya kweli tu mimi napenda sana wanawake sababu ndio raha ya dunia,msituharibie jamii kwa mambo yenu ya kipumbavu
     
Submit Comment


Article Options
Popular Articles
  1. Unaifahamu Jambo Forums?
  2. Ghorofa Jijini lanusurika kuungua moto
  3. Britsh M.P. calls for the suspension of aid to Tanzania.
  4. Is Tanzania a safe place to invest?
  5. Nitaendelea kugombea nafasi za kisiasa- Balozi Karume
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Habari Tanzania
  2. Mzee Mwanakijiji
  3. Nthelezi Nesaa
  4. Linda Garner
  5. Marshy Abdu
  6. Prosper Kwigize
  7. Salehe Mmoro
  8. Ramadhan Semtawa
  9. Manyerere Jackton
  10. Ndesanjo Macha
No popular authors found.