KVurugu za nchini Kenya zendelea kutokana na maandamano ya kupinga kwa matokeo ya Urais yaliyofanyika karibuni na kutangazwa Rais Kibaki kupingwa na watu wengi.
» Wasomi wamtaka JK kukaza buti kwa mafisadi
WASOMI wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kusimamia kwa ukali na umakini mkubwa ili kuhakikisha watu walioshiriki katika ufisadi uliokithiri katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wanarudisha fedha zote zilizoibwa na wahusika kuchukuliwa hatua.
» Dk. Slaa: Nina siri nyingine nzito
WAKATI Watanzania wakitafakari hatua ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT), Dk. Daudi Balali kutokana na kashfa ya akaunti ya malipo ya madeni ya nje (EPA), muasisi wa tuhuma zilizosababisha uchunguzi wa akaunti hiyo, Dk. Willibrod Slaa, ameibuka na siri nyingine kuhusu tuhuma za ufisadi wa viongozi walio serikalini.

Makala
Mzee Mwanakijiji
 Salehe Mmoro
Habari za Kitaifa
Michezo
 Siasa
Habari Mbalimbali
Africa
» Ban Ki-Moon atishwa Dar
By Marshy Abdu | Published 02/25/2009 | Habari za Kitaifa | Rating:
WAKATI Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-Moon akitarajia kutua nchini kesho kwa ziara ya kikazi ya siku tatu, serikali imefichua mpango wa baadhi ya Watanzania kuihujumu ziara hiyo.
» Maskini Liyumba
By Marshy Abdu | Published 02/25/2009 | Habari za Kitaifa | Unrated

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilimfutia dhamana aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba, ambaye ni mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya matumizi mabaya ya ofisi za umma na kusababisha hasara ya sh bilioni 221, baada ya kubaini kuwa aliidanganya mahakama.

 
No articles found.